Tamika Testo

Testo Tamika

Tamika - Dully Sykes Tanzania rudini nyumbani Tamika kwani watoto wanateseka aah... nikikumbuka tulikutoka roho yangu inasononeka ooh... 2x yapata mwaka miezi tangu utoroke nyumbani mpenzi watoto wamekosa malezi sababu yako Tamika mpenzi ooh Naomba piga japo simu unieleze unapoishi uchangamufu na ucheshi wako sasa nisimulizi watoto wanalia njaa na baba yao sina hata kazi nitakuja kupata uchizi sababu yako Tamika mpenzi Refrain --- walimwengu sina furaha naishi kwatabu na ka raha naimba huku nasononeka kwa mambo aliyoyafanya Tamika uzuri wake akicheka nikimkumbuka nahusunika sina hata lakufanya au sababu mimi sina pesa moyo wangu unajuta ni jinsi gani ninavyokupenda Wazazi wako hawajui mahali gani ulipokwenda Hebu Tamika kwanza kumbuka huku nyumbani umeacha watoto na mimi mzazi mwenzako na kufikiria wewe uliko Rudini ...... nimemkosa nimetafuta Mobasa nimetafuta Kampala nimetafuta Nairobi nimetafuta Tamika